Ruka hadi vituo — Skip to sites
NAONA

Uchunguzi wa Macho BURE · Free Eye Test

Macho Bora,
Maisha Bora.
Better eyes, better life.

Uchunguzi wa macho ni BURE, karibu nawe. A free eye test, close to home — it takes about five minutes to find out if you need reading glasses.

Tafuta kituo karibu nawe Find a site near you

Vituo 23 yameorodheshwa — 23 sites listed, more coming

Mhudumu wa afya wa jamii akizungumza na mwanamke nje ya nyumba yake — a community health worker talking with a woman outside her home
Dakika 5 tu About five minutes

Kwa Ufupi — Overview

Uchunguzi wa macho BURE, karibu na nyumbani.

NAONA inatoa uchunguzi wa macho BURE katika vituo vya afya na maduka ya dawa karibu nawe. NAONA offers a free eye test at health facilities and pharmacies near you. Most adults only need reading glasses.

BURE

Hakuna malipo ya uchunguzi The eye test costs nothing

5dk

Dakika tano tu Five minutes, start to finish

2

Kaunti — na zaidi zinakuja Counties, with more coming soon

Jinsi ya Kupata Msaada — How it works

Hatua tano kutoka kituoni hadi miwani yako.

Five steps, from walking in to walking out with glasses that suit your eyes.

01

Tembelea kituo cha NAONA kilicho karibu nawe. Visit your nearest NAONA site.

02

Omba uchunguzi wa macho (dakika 5). Ask for an eye test (5 minutes).

03

Pata nambari yako ya lenzi. Get your lens number.

04

Chagua miwani yako. Choose your glasses.

05

Vaa miwani uone ulimwengu upya. Wear your glasses and see the world clearly.

Uko tayari? Tafuta kituo chako sasa. Ready? Find your nearest site.

Vituo vyote

Tafuta Kaunti Yako — Find your county

Vituo vya NAONA karibu nawe.

Pata uchunguzi wa macho BURE katika kituo chochote hapa chini. Get a free eye test at any of the sites listed below.

Kaunti zaidi zinakuja — More counties coming soon

Homa Bay County

Orodha ilisasishwa: Julai 2026 — Site list updated: July 2026

Lwala Community Alliance — County health facilities

Vituo vyote vya Ngazi ya 2 na 3 katika kaunti nzima. All Level 2 & 3 county facilities, across every sub-county below.

9am – 5pm

Kabondo Kasipul
Bure

All Level 2 & 3 Facilities

On the main road in Oyugis town

9am – 5pm

Maelekezo Directions
Karachuonyo
Bure

All Level 2 & 3 Facilities

On the main road in Kendu Bay

9am – 5pm

Maelekezo Directions
Ndhiwa
Bure

All Level 2 & 3 Facilities

On the main road in Ndhiwa town

9am – 5pm

Maelekezo Directions

Maisha Meds sites

9

Meru County

Orodha ilisasishwa: Septemba 2026 — Site list updated: September 2026

Lwala Community Alliance sites

10

Maisha Meds sites

4

Vaa miwani uone ulimwengu upya. Wear your glasses and see the world clearly.

Uchunguzi ni BURE na huchukua dakika tano tu. The test is free and takes about five minutes.